Msaada RITA Ubungo/Kinondoni/Ilala

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, nimepata usumbufu wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mwanangu mwenye mwaka mmoja.
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia ntampa hela ya maji si chini ya elfu 80.
Ni pm tuongee, sitakii kwenda tena huko napoteza muda kutengeneza hela bora muda huo nitengeneze hela zingine nimpe atakayenisaidia , sichukulii kama rushwa.
 
Kwaio mkuu hauna kadi ya clinic ya mama aliokua anaenda hospitali kila mwezi? Kabla mtoto hajazaliwa Hauna kadi ya clinic ya mama alipokua anaenda hospitali baada ya mtoto kuzaliwa? Hauna tangazo la mtoto kutoka kwenye hospitali au kituo cha afya alipozaliwa mtoto?
 
Tangazo nililiacha huko huko RITA na sijui kama walishalitupa ama vipi.
Kadi ya kliniki ipo mkuu.
 
Tangazo nililiacha huko huko RITA na sijui kama walishalitupa ama vipi.
Kadi ya kliniki ipo mkuu.
Inabidi uombe kwa kutumia hizo kafi za kliniki ili uweze kupata cheti inachukua wiki 3-4 unakipata cheti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom