Msaada: Rim ya pikipiki TVS 150 inauzwa bei gani?

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
737
Habari wakuu,

Nashida ya rim ya pikipiki mpya inauzwa bei gani na used inauzwa bei gani? Nimekuja hapa kuuliza ili nisije kupigwa huko na wataalamu
 
Kununua rim tu ya pikpiki unaanzisha uzi, ukimiliki gari sijui itakuwaje mkuu hahah, nenda Fanya research ya maduka ya vifaa vya pkpk nenda kaulizie duka zaidi ya moja ukiona bei zinafanana au kukaribiana bc ujue ndo bei yake hujapigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni forum mkuu ,jiepushe na tabia ya kuwa mjibuji wa kila uzi itakusaidia sana kuficha upuuzi wako .

We unaona kumiliki RIM ya pikipiki ni jambo dogo siyo?

Unamiliki nini zaidi?
 
Back
Top Bottom