incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Kamuulize mamako, kama ni msaada saidia kama huwez pita hivi acha kujikuta akili sanajinsia gani wewe
Umri unahusikaje na kujua mbona kuna watu mna dharau hivi kama unaweza kusaidia si unasaidia tuUna umri gani?
🤣🤣🤣kiongozi vumilia tu watakuja wenye majibu mazuriUmri unahusikaje na kujua mbona kuna watu mna dharau hivi kama unaweza kusaidia si unasaidia tu
ngoja waje maana mimi kukaa kwa tv cjui ni lini
Nimeweka betri kila kitu ila hazi accesAngalia kwanza kama umeziweka vzr na kama zina charge. Ikishindikana ziteminate kama jina lako.
Kwenye camera zina display vzur ukibinya zinatoa mwanga ila kwenye reality hazifanyi kabisa hata kidogoWakati Unanunua Umezijaribu Ama Laa....!
Nilinunua Azam Remote Muuzaji Hana Television Ila Tulitumia Camera Ya Simu Kujiridhisha Kama Ni Nzima Na Ilipotumika Kwenye Television Ilifanya Vizuri
Hiyo majarbio nimefanya na zikawaka ila hazifanyi kwenye DevicesWasha camera ya simu yako then kua kama una ipiga picha iyo remote usawa wa taa uku una ibonyeza ,angalia kwenye simu kama zina waka waka .
kama haziwaki ni mbovu kama zina waka tatizo lingine ilo
Ninenunua ya Abooda na ya Azam tvremote zote ulizonunua ama ya aboda tu?
Mrejeshee akupe chakojaribu kuanalia jicho larimoti kama lipo sawa, wakati mwingine yanajiminya.