Msaada!! Reload software :552

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
Msaada kwa wenye kujua tatizo hili kwa balckberry, nilikuwa na download nimbuzz nilipomaliza ikaniambia ni restart phone, baada ya ku irestart haiwaki tena, ikiwaka ikifika kwenye initialising inasema 'RELOAD SOFTWARE :552' naomba msaada kwa mwenye kujua ufumbuzi wa tatizo hili
 
nimeshaidownload kaka hiyo desktop manager ya blackberry!
sasa tatizo sijui naitumiaje ili kuweza kuifanya simu yangu irudi katika hali ya kawaida
 
Back
Top Bottom