Msaada: Registration number inakataa NACTE

Msaada: Registration number inakataa NACTE

blotter20

Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
53
Reaction score
14
Msaada jamani nikiaaply nacte bachellor nikiweka number registration inakataa inadai kuwa reg.no/examination number/graduation year is not in our system nimeenda jana nacte hakuna umeme nimerud leo anaehudumia matatizo ya namna hiyo hayupo sasa je tatizo linaweza kuwa nini jamani
1471513630447.jpg
 
Wanagoma kuniletea option ya kuupload vyet mpka niingize reg no
 
Click No kwa vile vipengele vyote walivyokuletea hata mm ilinitokea hiyo cz niliclick yec kwenye kipengele hcho
 
kuna mdogo wangu hilo limemkuta tupe aidea umefanyaje vzr tufanye
Kabla hujafika kwenda kuchagua vyuo kuna vipengele kama vitano ivii wanakuletea Ujibu YES or NO Sasa kama ukijibu YES lazima uje ukitolee ufafamuzi mbeleni
 
Kabla hujafika kwenda kuchagua vyuo kuna vipengele kama vitano ivii wanakuletea Ujibu YES or NO Sasa kama ukijibu YES lazima uje ukitolee ufafamuzi mbeleni
ni kweli mkuu....lkn apo inaonesha kaweka √ kwny sehem ambay ina mfit so thus y
 
Mkuu hiyo hutokea kwa sababu jina la chuo ni tofauti na jina la form4 ulilotumia. Mfano jina lako ni Alex Chacha Marwa, lakin kwa utaratibu wa chuo huwa unaanza na jina la mzazi yani Marwa Alex C. Hapo ndo inaleta utofauti, kwa Msaada zaid scani cheti cha form4 na diploma(kama unacho) au transcript ya matokeo then watumie kwa email yao. Ila kukutoa wasi wasi, huwa inasumbua lakin baadae hukubali. Ikishakubali basi utaanza kuchagua vyuo. Asante
 
Back
Top Bottom