msaada ratiba ya upigaji picha vitambulisho vya taifa kinondoni

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
habari .zenu
kwa yeyote mwenye kufahamu ratiba ya zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya taifa NIDA kwa manispaa ya kinondoni anaweza nisaidia ..
ni jumamosi na jumapili..?
na mtiririko wake ukoje wanaanza na kata gani..?
natanguliza shukrani..
 
Siku zote za wiki....unachagua.....nenda ofisi ya serikali ya mtaa.
 
Acha haraka wewe mkimbizi?watakufika kupitia serekali yako ya mtaa juzi Kati walikuwa upanga sasa kwa ubungo subiri utasikia tu usiwe kama msomali
 
Back
Top Bottom