Msaada rangi ya uniform ya Malangali Secondary School

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
327
204
Nina mdogo kafaulu shule ya secondary MALANGALI iliyopo mkoa wa iringa. naombbeni utaratibu wa kuhusu rangi ya UNIFoRM anazopaswa kwenda nazo. karibuni wadau
 
Enzi za Mwl Jk Nyerere tulivaa kaki ila siku hizi wanavaa suti nyeusi tii. Na kwa jinsi ulivyouliza, huna mdogo ila ni wewe mwenyewe. Nnakutakia masomo mema na usinywe ulanzi huko isimikinyi, tambalang'ombe na itengule
 
Duuuuuii!!!
umenifurahisha sn. mi nipo hapa malangali bhana. Tamba la ng'ombe ndio mnadani kwetu.
 
Enzi za Mwl Jk Nyerere tulivaa kaki ila siku hizi wanavaa suti nyeusi tii. Na kwa jinsi ulivyouliza, huna mdogo ila ni wewe mwenyewe. Nnakutakia masomo mema na usinywe ulanzi huko isimikinyi, tambalang'ombe na itengule
NIAMINI MKUU, SIO MIMI NI DOGO NANAENDA PALE BT AHSANT SANA KWA UJUMBE WAKO
 
Back
Top Bottom