Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,845
Nimejionea wengi wanadhulumiwa kwa sababu ya ugeni maana ukidai chenji hakupi mkizinguana anaanza kupiga kelele wahuni na malaya wenzake wakijaa lazima uone aibu unasepa na matusi juuImewahi kukutokeahalafu uki check wewe ni mgeni maeneo hayo
halafu uki check wewe ni mgeni maeneo hayo