Msaada: PSPF kwa wanaoifahamu

Msaada: PSPF kwa wanaoifahamu

UGORO87

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
824
Reaction score
383
Je PSPF ina fao lakujitoa?. Je inakuposha wateja wake?. Je mtumishi anakuwa pensionable akiwa na miaka mingapi kazini?

Asanteni.
 
Je PSPF ina fao lakujitoa?. Je inakuposha wateja wake?. Je mtumishi anakuwa pensionable akiwa na miaka mingapi kazini?

Asanteni.

Nitajibu baadhi ya maswali yako:
1:Wanatoa mikopo ya nyumba ila kwa mtumishi wa kawaida sahau maana hauna ubavu huo labda uwe na kichaa ivi.
2:Utakua pensionable baada ya kuchangia kwa miaka 15 nikiwa na maana ya michango 180.
3:Kujitoa sina uhakika mkuu ngoja nichungulie.
 
Je km utakuwa penshanable ukiwa na miaka 15 kazn utaruhusiwa kuendelea kufanya kazi.
 
1. Wana fao la kujitoa ndiyo. Ila interest wanayokupa kwa ajili ya michango yako ni chini ya 1% .
2. Kulipwa pensheni ni hadi ufikishe miaka 55 au ustaafu kwa lazima ufikishapo miaka 60, na uwe umechangia zaidi ya miaka 15. Chini ya muda huo hata kama ni tofauti ya siku moja, hulipwi pensheni.
3. Mikopo tunatoa kwa wale wenye umri wa kuanzia miaka 55 tu, labda uwe mwanasiasa (Mbunge, Waziri etc) na cheo hicho kinaweza kutuathiri sisi PSPF kwa maamuzi utakayoyatoa. Mkopo una riba ya 12% kila mwaka.
 
LAPF wanatoa mkopo wa elimu ya juu na unaweza kuamua kuanza kulipa baada ya kumaliza masomo
 
Hakuna Mfuko wa Pensheni unaotoa mkopo wakitegemea ulipwe baada ya kumaliza mkataba. LAPF wanatoa mkopo wa elimu ya juu kwa watumishi wa Mfuko huo tu na si kwa wanachama. Waulize upate uhakika.
 
Hakuna Mfuko wa Pensheni unaotoa mkopo wakitegemea ulipwe baada ya kumaliza mkataba. LAPF wanatoa mkopo wa elimu ya juu kwa watumishi wa Mfuko huo tu na si kwa wanachama. Waulize upate uhakika.

Sasa ivi kuna mkopo wa elimu ya juu kwa wanachama wa LAPF budget ilishapitishwa mwezi huu wa 7 na kinachoendelea ni utekelezaji ila lazima mwanachama awe amechangia kuanzia miezi 24,bado kuna vitu havijawa clear ila kama mtu yuko interested sana i can work on it.
 
Back
Top Bottom