donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,138 Apr 8, 2011 #1 wakuu habar yenu. Mwenzenu juzi juzi psp yang light ilianguka bahati mbaya nakuvunjika display yake. Nimehangaika sana kutafuta replacement bila mafanikio. Naomba msaada kwa anaeweza faham mahala naweza pata. Thankx r in advance!
wakuu habar yenu. Mwenzenu juzi juzi psp yang light ilianguka bahati mbaya nakuvunjika display yake. Nimehangaika sana kutafuta replacement bila mafanikio. Naomba msaada kwa anaeweza faham mahala naweza pata. Thankx r in advance!
IT Guru JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 635 Reaction score 113 Apr 8, 2011 #2 Mh labda kwa kuanzia ungesema umezunguka wapi na wapi maana waweza elekezwa kumbe umeshapitia hiyo sehemu ukakosa
Mh labda kwa kuanzia ungesema umezunguka wapi na wapi maana waweza elekezwa kumbe umeshapitia hiyo sehemu ukakosa
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,138 Apr 8, 2011 Thread starter #3 Mr. Cool said: Mh labda kwa kuanzia ungesema umezunguka wapi na wapi maana waweza elekezwa kumbe umeshapitia hiyo sehemu ukakosa Click to expand... mkuu nimeenda sapner posta,sony workshop mikocheni,m.city.
Mr. Cool said: Mh labda kwa kuanzia ungesema umezunguka wapi na wapi maana waweza elekezwa kumbe umeshapitia hiyo sehemu ukakosa Click to expand... mkuu nimeenda sapner posta,sony workshop mikocheni,m.city.