Mimi nimeitoa kabisa, ni zaidi ya mwaka natumia hivi hivi.
Anyway tafuta ile protector meni inayokaa juujuu. Hizi zinazofunika Edge zinasumbua sana
Tafuta zile za Nillkin mkuu
Zinapatkana AliExpress huko..bei kuanzia 30 hadi 32mkuu nazipata wapi hizo na bei yake ikoje
Watafute nanofixit kupitia namba 0678704888 wanaweza kukusaidia tatzo lako kuhusiana na protector
Sent using Jamii Forums mobile app