projects zote kama hii za management zinakataliwa, pia hawataki web based projects. Nimeshapeleka mara 2 na kukataliwa, last time wamenishauri nitoe title ktk IEEE ambapo binafsi nikizisoma hata sielewi
Mkuu unaweza kutuwekea hapa katika hiz proposal ulizopelaka tuone.
Mi nadhani Zinakataliwa sababu mnaandika project poposal
- zilizoshandikwa tayari ( School, library Hospital )
- Kwene proposal hamuonyeshi kama kuna unsolved problem kwenye area fulani ambayo haijapatiwa ufumbuzi na ni muhimu iwe adressed.
- Hamuandiki wala kuconvice mtu faida ya proposal yako tofauti na nyingine zilizopita au zilizatangulia.
Kifupi zinakataliwa sababu Mkufunzi mzuri na makini anajua hutajifunza kitu sana sana utaishia kucopy kazi za watu.Zinakataliwa sabau ya Udhaifu wa
documentation sio sababu project hazifai
Mfano mi najua naweza kuandika proposal inyohusu mamb ya web na bado ikaubaliwa .Mfano
- CMS kama joomla, Worspress hazina languge pack ya kiswahili. So project inaweza kuwa Delevelloping Swahili Language pack kwenye chosen CMS. It sound simple but uifanya reseach utagundua ugumu wake na utaon ni kwa nini Kiswahili hakimo katika list ya CMS aribu zote.
- Kutengeneza chat software yenye uwezo wa voice communication kwenye mobile divice
- Unaweza kuiboresha hii hapo Juu ya chat ikawa ni project ya chat sofware ku communicate na Mobile device yenye IPv6 adress. unweza kuita ni project ya VOIP katika Ipv6
Sasa Tittle sio kazi kazi ni
Documetation ya Proposal yako. Tukiona hata watanznaia kwenye real life project wahindi wanatupiga bao pamoja tatiz la rushwa ni kwamba tuna tatizo kwenye documentation
NB
Kumbuka Dhumuni kubwa la project nyingi za shule Sio
Product bali ni
Process. Mi nakumbuka nilifanya project ambapo Project document ilikuwa na na 60% na Poject Product ilikuwa na 40%. Sijui Hiyo project yako ikoje.
Mfano kuandika
chat application inaweza kuonekana rahisi na zipo nyingi tu online lakini technical documenatin yake ya mambo kama
Socket ,
port , Security. Connection establishement and termination ndiyo yatafayya mkufunzi ajue kuwa kweli ulkifanya hiyo project utajifunza
.
Sababu kwenye documenation utakuwa umeeadika process na hatua utakazopitia na mambo utayofanya Pia
Requirement Specifation inatakiwa kuwa part ya project proposal yako.
So at the end kitu unachoweza kudevelop kwenye
VB kinaweza kisifanye kazi vizuri lakini As far as school project in concerned utakuwa umepata shule ya kukusaidia kwenye real life IT projects.
Good Luck