Msaada practical interview ASSISTANT ICT OFFICER II

Msaada practical interview ASSISTANT ICT OFFICER II

johnhai

Member
Joined
Apr 29, 2025
Posts
5
Reaction score
4
Ndugu naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu wa practical za kada ya ICT. (Kwenye duties and responsibilities nyingi ni kuhusu maintanance and repair).

Naomba kujua maswali yanakujaje na mda wanatoaga mda gani. Ahsante
 
Weka duties and reponsibilities
 
Weka duties and reponsibilities
Hizo apo chini:

MAJUKUMU YA KAZI

i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa vifaa vya tehama na kurekebisha ipasavyo;

ii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa vya TEHAMA;

iii. Kufanya matengenezo ya Miundombinu ya TЕНАМА;

iv. Kuchukua hatua za kiusalama kulinda vifaa vya TEHAMA;

v. Kukagua na kutambua vifaa vinavyohitaji matengenezo;

vi. Kutoa huduma kwa watumiaji wa vifaa vya TEHAMA;

vii. Kusimamia ukaguzi na ufungaji wa vifaa vipya vya TEHAMA; na

viii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake.
 
AFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II)​

MDAs & LGAs...​

Back
Top Bottom