Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Nikiwa najaza details zangu wakati nikiomba kazi online au scholarship huwa nakwamia kwenye hicho kipengele hicho cha kujaza postal code/ZIP na country code. Mwenye kujua naomba anitajie.
Asante sana kakaNi Mfumo ambao unasaidia urahisi katika ku process barua.
Mfano. Kitongoji/Mji Mmoja unaweza kuwa na majina zaidi ya mawili ya mitaa inayofanana.
Kwa hiyo mitaa hiyo itatofautishwa kwa post code zake. Post code huwa ni unique.
Kwa Tanzania system hiyo bado kwa sasa ila TCRA wanaishughulikia.
Weka 00255 kwa sasa.
Mengi uliyosema hapo juu ni kweli la kusema kuwa bado hazipo si kweli karibia mikoa,wilaya na mitaa yote ina Postal code......mhusika atembelee kwenye website ya TCRA zipo mbona.....tena si hiyo 00255Ni Mfumo ambao unasaidia urahisi katika ku process barua.
Mfano. Kitongoji/Mji Mmoja unaweza kuwa na majina zaidi ya mawili ya mitaa inayofanana.
Kwa hiyo mitaa hiyo itatofautishwa kwa post code zake. Post code huwa ni unique.
Kwa Tanzania system hiyo bado kwa sasa ila TCRA wanaishughulikia.
Weka 00255 kwa sasa.
Ningekuwekea hilo file la list ya Postalcode zote sema hapa linakataa kuwekwa sijui ni kubwa sana?
Jaza ya mkoa tu maana mitaa anwani zake hata jazieleweki kwa wenzetu haya washayamaliza siku nyingi maana karibu kila mitaa inafahamika na nyumba zote zina nambaMkuu nashukuru sana nimeshaingia website ya TCRA na nimeshazipata. Asante sana. Labda sijaelewa kwamba ukitakiwa kujaza hiyo postal code unajaza ya mkoa tu au unajaza kuanzia ya mkoa hadi mtaa?