Msaada Pombe Vs Wanawake

Msaada Pombe Vs Wanawake

Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe yani kwangu pombe ndio imekuwa kama rafiki yangu wa ukwel yani siwezi niko radhi niache hata mechi (kwichikwichi)ila sio pombe .
Nifanyaje niweze kushinda hili wadau?
Mkuu kazia kwenye pombe.
Mapenzi yanamaliza hela
 
Sasa hapo tabu iko wapi mkuu wakati gambe ndo mwanamke kabisa unataka hao wanaotembea watakuuwa .
 
Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe yani kwangu pombe ndio imekuwa kama rafiki yangu wa ukwel yani siwezi niko radhi niache hata mechi (kwichikwichi)ila sio pombe .
Nifanyaje niweze kushinda hili wadau?
Ingekuwa kutukana ni jambo zuri na lenye kusifiwa ningekutukana, kwa ufupi unaelekea kwenye uchizi yaani huwezi ukawa mtu mwenye akili timamu ukaona Pombe ni bora kuliko Mwanamke, hiki kiumbe ni vazi kwetu na sisi ni vazi kwao.
 
Pole yako
 
Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe yani kwangu pombe ndio imekuwa kama rafiki yangu wa ukwel yani siwezi niko radhi niache hata mechi (kwichikwichi)ila sio pombe .
Nifanyaje niweze kushinda hili wadau?
Hongera bro piga pombe, ata hivyo kunywa pombe sio zambi ila kuzini ni dhambi
 
Wewe ni addict wa pombe...yaani umekuwa Teja...you are an Alcoholic
 
Kila mtu na starehe yake,kiukweli bia baridii,ugali na nyama choma halafu pembeni nna mtoto mzuri inakuwa poa sana, kwa kifupi pombe na mbususu vinaundugu fulani japo some times napiga biere zangu naenda zangu home inakuwa imeisha hivyo yani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe yani kwangu pombe ndio imekuwa kama rafiki yangu wa ukwel yani siwezi niko radhi niache hata mechi (kwichikwichi)ila sio pombe .
Nifanyaje niweze kushinda hili wadau?

Njia rahisi yakuacha pombe ni kuvunjiwa yai bichi kwenye kalio kila ukilewa!utaacha bila kupenda
 
Wanasema pombe nikama mtego wa panya kuingia rahisi kutoka kazi

Pambana na hari yako mr slave
 
Back
Top Bottom