Msaada plzz

Msaada plzz

Mkuu si unaona aina za mada zinazoletwa humu na umri wa waanzilishi wa hizo mada!
Lakini hicho sicho kilichopelekea ukaandika hayo, hapo kuna sintofahamu fulani hivi umeniacha nayo. Au sio snowhite?
 
Last edited by a moderator:
si nilisema mimi mchana!
yani walahi unaweza kukomaaa mishipa ya shingo na vidole vinakuwa na sugu plus kumaliza wino wa veyboard wlahi unamwambia mwanao wa kumzaa,
unabaki ''enh sasa mkuu hapo inabidi ujitahid kufanya mara kwa mara,manake haya mambo yanataka kujiandaa kimwili na kiakili,enh hata style pia muwe mnabadilisha sio kila siku ile ile!halafu jaribu kuwa mbunifu na mwambie mpenzi wako nae asiruhusu mzoee!"
kudadadeki!nabadili ID muda si mrefu nakuja na verified user!
CC Asprin, @fp, gfsonwin, Kaunga Dark City , Kongosho , King'asti Kaizer The Boss na wengine woooote wenye watoto wenye kuelekea huu umri wa ubarobaro na ucheksister!
dah! Ndibalema umenifikirisha sana i see!:A S 39:

Kama hamjuani bado ni poa tu,

Mie huwa naogopa aibu ya kumtongoza mtu wangu wa karibu au Bibi mwenyewe....

Ndiyo maana wengine tulishajistaafia...lol!

Babu DC!!
 
Duuuuuuuuuuu,

Itabidi nirudie kujifunza mahesabu...at 21, jamaa keshabadili magari.....arithmatically, at 70 atakuwa na mangapi??

Ila hiyo ya vidudu kufa baada ya kubadili GF ni nzuri sana,.. kwani itabidi watu wabaki na waanzilishi wenzao badala ya kusambaza matatizo mitaani!!

Babu DC!!
 
Humu majukwaani unaweza ukajikuta unatoa ushauri wa mapenzi kwa mtoto wako wa kumzaa.

Usitafute sababu kumsaidia mtu, toa ushauri wa mashiko kama unavyoweza kumshauri mtoto wako kuhusu haya mambo.
 
Mh dogo u got guts aisee...! Shikamoo mdogo wangu....:tape2::nono:
 
si nilisema mimi mchana!
yani walahi unaweza kukomaaa mishipa ya shingo na vidole vinakuwa na sugu plus kumaliza wino wa veyboard wlahi unamwambia mwanao wa kumzaa,
unabaki ''enh sasa mkuu hapo inabidi ujitahid kufanya mara kwa mara,manake haya mambo yanataka kujiandaa kimwili na kiakili,enh hata style pia muwe mnabadilisha sio kila siku ile ile!halafu jaribu kuwa mbunifu na mwambie mpenzi wako nae asiruhusu mzoee!"
kudadadeki!nabadili ID muda si mrefu nakuja na verified user!
CC Asprin, @fp, gfsonwin, Kaunga Dark City , Kongosho , King'asti Kaizer The Boss na wengine woooote wenye watoto wenye kuelekea huu umri wa ubarobaro na ucheksister!
dah! Ndibalema umenifikirisha sana i see!:A S 39:
Thats why am never serious hapa jamvini. If you take me serious you are lost!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom