msaada plzz

deprettyG

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
42
Reaction score
2
natafuta kaiz yeyote yenye uhalali,duka la nguo,vipodozi,saloon,now npo dom bt hme dar!am girl 21 yrs
 
1. Una elimu gani?

2. Umeshafanya kazi gani? Una uzoefu na kazi gani? Kwa muda gani?

3. Sawa uko dodoma, so unataka ajira dodoma? Ama unaweza kwenda mikoa ipi?
 
Binti, kuna factors nyingi sana ambazo mwajiri makini huwa anazingatia, kwa kusoma tangazo lako tu mtu anaweza kujifunza mengi kabla hata hajaonana na wewe! Btw, kwa nini usiangalie zaidi uwezekano wa kujiajiri hasa katika uzalishaji, fursa za "kutoka" zipo wazi zaidi upande huo kuliko huko unakokimbilia "preaty girl". Kila la heri.
 
1. Una elimu gani?

2. Umeshafanya kazi gani? Una uzoefu na kazi gani? Kwa muda gani?

3. Sawa uko dodoma, so unataka ajira dodoma? Ama unaweza kwenda mikoa ipi?
elimu yangu form four,cjawai fanya kazi popote pale,,naitaji dodoma
 

thankx Ushauli bt Sasa nipo chuo so nakalibia kumaliza hivyo nicngependa nikae nyumbani bila kazi yoyote,,wakati nikijipanga kunzisha kitu kingine!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…