Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Wakubwa,kuna mtu namdai pesa bt cha kushangaza ni kwamba,kila nkimpgia simu,simu yake inaita mara 1 then naambiwa namba inatumika..lakini nikitumia simu nyingne kumpgia inaita vizur tu..sa nauliza huyu jamaa kuna namna ameiset cmu yake kwamba me nkimpgia nisimpate au ni namba yangu ndo ina matatzo?