Ezekia Lameck
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 201
- 212
jaman nina tatizo kwenye flash yangu imeingiliwa na virus baada ya kuweka kwenye pc ambayo ilikuwa infected na virus huyo anaweka shortcut kwa kila ntakachoweka kwenye flash nimejaribu kuscan kupitia ant virus (kaspersky, Norton) lakin wap, nimeformat kupitia cmd (command prompt) lakini tatizo bado lipo mwenye idea na hili naomba msaada waungwana
NAWAKISILISHA
NAWAKISILISHA