ni kweli ulichosema, hawa watoto wa ndugu bana inabidi wajifunze kuishi na watu wengine ambao si wazazi wao na wawaheshimu..wengi wao wanakuwa defensive tuu na wanawaheshimu wale ndugu zao wa damu(mfn mjomba) lkn shangazi hana time nae..
na pia unakuta mtu anakaa home hasaidii kabisa kazi za nyumbani eti kisa anasoma, hata sisi si tumesoma? mbona tulikuwa tuna mmuda wa kusaidia vitu vidogo vidogo km kupika, kuosha vyombo japo mara moja moja, na ww unaonekana wa maana, na mtu hata ukiondoka kwake anakumis, lkn hawa wa siku hizi, akirudi home kutoka chuon yeye na fesi buku, au jamii forum, ilimradi yuko na simu au yuko kwenye tv..hasaidii chochote na yeye anahudumiwa na mahouse girl...kwa kweli hiyo ni ngumu sana labda kama ni nyumbani kwenu kwa wazazi wako ndio uko huru lkn ikiwa kwa ndugu unatakiwa ujitume na usiwe mwepes wa kukasirika na vitu vidogo vidogo...
mimi binafsi ni muathirika wa haya matatizo ya ndugu, mtu mzima anatoka shule anakaa kwenye tv hasaidii chochote hapo nyumbani eti kwa sbb tuna dada wa kazi, kwani dad wa kazi ndio hasaidiwi? ni lazima uonyeshe uwepo wako na ww uonekana wa maana na sio unaonekana mzigo...
i tell you hakuna mama anyemchukia mtu mwenye kujituma nyumbani hata kama hapendwi na baba huyo atakaa tu, lkn ukijidai mjuaji na kutumia muda wako vizuri kwenye fesibuku na tv basi mama mwenye nyumba atakuchukia tu