Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
naombe anayejua dawa, maana mjamzito harusiwi kung'oa, ametumia panado mpaka amechoka. thanx in advance.
asante, wamasema eti kama ni la chin haina neno sana, ila lake ni la juu ambolo ndo wanasema linakuwa na shida
mimi nina rafiki yangu wakati akiwa mjamzito ikifika second trimister huwa anaumwa sana meno na kila akijifungua huwa anang'oa, daktari alimwambia kuwa ni wakati mtoto anatengeneza mifupa kwahiyo kama hana calcium ya kutosha ndo inasababisha hivyo
naombe anayejua dawa, maana mjamzito harusiwi kung'oa, ametumia panado mpaka amechoka. thanx in advance.
Siyo kweli huo ni upotoshaji-wakati wa ujauzito mbali nakinga kushuka kwa kiwango fulan bado kuna mabadiliko ya uwiano wa homon zinazorahisisha ukuaji wa bacteria kinywani-sasa hali hii ikikutana na hali ya kutokusafisha meno vizuri matokeo yake ndio hayo.mimi nina rafiki yangu wakati akiwa mjamzito ikifika second trimister huwa anaumwa sana meno na kila akijifungua huwa anang'oa, daktari alimwambia kuwa ni wakati mtoto anatengeneza mifupa kwahiyo kama hana calcium ya kutosha ndo inasababisha hivyo