Msaada plz iphone yangu 3gs imezima haiwaki

Msaada plz iphone yangu 3gs imezima haiwaki

Abloodi

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
165
Reaction score
12
naomben msaada wana jamvi...nina iphone yangu 3gs mara ya mwisho ilizima ikadai chaji imeisha ..cha kushangaza nilpo ipachika kwny chaji ili vibrate tu na wala haioneshi chochote nikacharibu kupress power button +home button wala haijasaidia chochote plz nisaidien maana hata itune haiitambui
 
nadhani iphones 3g na 3gs zilikuwa programmed kuacha kufanyakazi mwaka huu, mimk yangu IMEKUFA hivyohivyo ilianza kulalamika battery low mpaka ikazima hadi leo.

Jaribu kuiacha kwenye charge kwa muda mrefu inaweza kuwaka. iTunes haiwezi kuitambua iPhone kama haina charge kabisa.
 
mkuu unachotakiwa kufanya iweke katika chaji kwa kutumia usb port ya dvd just 3hours kama haijakubali hold volium up +down and then home power for 5seconds
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom