MSAADA PLZ: Huduma ya Go Live siipati kwa Smart tV (TCL)

Blessed Jr

Senior Member
Nov 17, 2016
134
235
Wadau niaje, ebhana nashindwa kitu kimoja, kila nikijaribu kupata huduma ya Go Live kwa TCL inagoma. Inaishia kuniambia kuwa Network unavailable, wakati huo huo nikiwa kwa Youtube au social apps inakubali, msaada tafadhali,
d0538b90121a98c4657d7181a7458b2e.jpg
 
a23d0753a634e27a94f7001afddfd26d.jpg

89d2d14cbfa60390d5f1cccd001427a5.jpg

a39d66b9b450eb6b808cf067a44f9532.jpg

Fata hizo hatua, ila hakikisha kwenye simu yako umeweka on Wi-Fi hotspot ili Wi-Fi ya Tv ii detect ya simu kisha uendelee
 
Back
Top Bottom