Msaada plz: Computer screen imekuwa ya kijani ghafla!

Msaada plz: Computer screen imekuwa ya kijani ghafla!

jaribu heeba technology pale bakhressa karibu na fireau tafuta duka la city axis lipo kisutu karibu na nmb morogoro rd utapata hayo madude kwa bei iliyotulia.

asante mkuu. Ngoja ntakwenda kuzicheki. Maana nilikuwa na shida nazo sana.
 
Back
Top Bottom