Kuna issue mbili kama sio tatu hapo kwa vile mimi ninavyoona.
1.Check na RAm kwanza kama ipo poa kwa slot yake kwa kuitoa na kuikandamiza sawasawa.
2.Inawawezekana ikawa cable kama walivyosema wenzangu hapo juu ila tuu itategemea utatumia LCD au CRT
3.Inawawezekana kabisa kama ni LCD hizo spot zinatokea endapo TFT's controller inapokufa ama kuanza kuchoka.
Check na hayo utapata jibu.
nashukuru kwa msaada wenu wa mawazo, lakini sio desktop bali ni laptop.
Nilijaribu kuizima tokea jana ila bado inazingua. Hata nikajaribu kuangalia kama kuna magnetic materials pembeni ambazo zingesababisha hiyo itokee lakini sikuona kitu.
Na ram nimetoa na kuirudisha ila bado tatizo lipo pale pale. Sasa sijui nifanyeje...
Naomba mnisaidie kwa mawazo mengine!!
cheki mkanda mkuu maana ndio swaga zake hizo..
umeupdate vp wakati screen ilikuwa ya kijani haionyeshi chochote?oyoooooo..., kitu kimejipa guyz! Kioo kimetakata.
Nilihangaika sana, ila baadae nikafikiria ku-update driver za display na vga, na baada ya hapo rangi ikarudi na kukaa sawa. Naona tatizo labda ile driver ya display labda ilikuwa na matatizo.
All-in-all nawashukuruni wote kwa moyo wa ukarimu!! Mungu awabariki!
umeupdate vp wakati screen ilikuwa ya kijani haionyeshi chochote?
Mkuu Young Master desktop yangu mimi haitoki Rangi ya kijani inatoka Rangi ya Manjano itabidi niangalie Cable ya VGA au sio? inatoka rangi ya timu ya yanga lakini kila kitu ninakiona kama kawaida ila nikiitingisha Hardware inarudi Desktop nyeupe tatizo itakuw ani hiyo Cable ya VGA?tatizo ni VGA cable...kama unatumia desktop check it or ibadilishe kabisa kama unatumia laptop na wewe sio IT Technician the find someone ambaye atakusaidia katika hilo.
Mkuu Young Master desktop yangu mimi haitoki Rangi ya kijani inatoka Rangi ya Manjano itabidi niangalie Cable ya VGA au sio? inatoka rangi ya timu ya yanga lakini kila kitu ninakiona kama kawaida ila nikiitingisha Hardware inarudi Desktop nyeupe tatizo itakuw ani hiyo Cable ya VGA?
Mkuu Young Master nimegunduwa kuwa ni Cable itabidi nibaalishe Graphic card nienunuwa mpay ya ATTI HD Saffire yenye 1GB haian matataizo mkuu nitabadilisha Cable nimweka Windows 8 ndio hiyo inaleta manyago asante kwa ushauri wako.naam mkuu...hiyo nayo tatizo lake itakuwa ni hiyo VGA.
Mkuu Young Master nimegunduwa kuwa ni Cable itabidi nibaalishe Graphic card nienunuwa mpay ya ATTI HD Saffire yenye 1GB haian matataizo mkuu nitabadilisha Cable nimweka Windows 8 ndio hiyo inaleta manyago asante kwa ushauri wako.
Mkuu Young Master nimegunduwa kuwa ni Cable itabidi nibaalishe Graphic card nienunuwa mpay ya ATTI HD Saffire yenye 1GB haian matataizo mkuu nitabadilisha Cable nimweka Windows 8 ndio hiyo inaleta manyago asante kwa ushauri wako.
hiyo graphics card umeinunua wapi? Maana nilienda kuzitafuta graphics card kariakoo ila sikufanikiwa kuzipata. Na je zinauzwa shilingi ngapi kama hiyo yako ya 1gb?