Msaada, pls!

The Pen

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
755
256
Habari wanajamii! Nipo ktk utafiti kuhusiana na janga la ukimwi. Naomba mnisaidie kunitajia nyimbo zinazohusu ukimwi zilizoimbwa na watanzania pamoja na majina ya wasanii husika wa nyimbo hizo.

Natanguliza shukrani zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom