Msaada pls

amelia kuanzia jana saa 10 jioni mpaka saa 11 asubuhi, nalala, naamka namkuta analia nimetoka kwenda kazini hajalala, na mchana huu napiga simu analia tu BP imeshuka

huyo mdogo wko mmbea, sumtymz inapobid mwambie ni lazima akubaliane na matokeo, aache kulilia.
 
Mungu ampe tu nguvu na ujasiri,amtegemee Mungu,si bure amayajua haya kabla ya ndoa,nina imani Mungu ana mpango au anamuandaa kwa jambo fulani.Ni wakati wa kutulia na kuzungumza na Mungu wake na kufanya uamuzi ulio sahihi.Haijalishi engagement ilishafanyika wala sijui wamekuwa pamoja miaka nane...kwani angekufa huyo kaka ingekuwaje? si maisha yangeendelea? Basi,azidishe imani,ajiamini na azungumze kwa undani na huyo kaka....hakuna haja ya kulazimisha mambo,manake mwanaume mpaka kakubali kumlipia huyo dada mwingine nyumba,he cares for her.....Ingekuwa mimi,nafikiri ningemuacha,nisonge mbele na maisha yangu.Si rahisi lakini inawezekana kabisa!
 
oooh my god huyu mwanaume ana matatizo sio mwaminifu na mungu kamuonyesha huyo binti mapema yatakayojiri..atakuwa na mke mwenza hata wakioana
 
Inauma sana. Kama jamaa ameshachukua gari na vitu vingine walivyoandikisha basi hakuna maisha tena hapo. Ni vigumu sana kusema neno kwa wawili walopendana lakini hapo haifai tena. Mshauri tu mdogo wako atulie kwanza na kumomba Mungu ampe uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu. Najua Mungu amtupi mja wake. C ajabu akampa mume mwingine mzuri wa kufa na kuzikana.
 
Mi cjaona ki2 kigumu hapo,ila hakika kupenda ni kubaya kwani huyu mdogo wako anaweza akawa amempenda jamaa toka rohoni. Kwangu mi kwa ushauri wa BURE mi ningemwambia aachane naye kwani hata yule aliyezaa naye ni mwanamke kama yeye na ujuwe mpk kazaa naye ni kwamba walishakaa vizuri kbs ktk starehe zote na ukumbuke kabisa ya kwa hakunaga AWALI MBOVU hata cku moja,mshauri tu aachane naye. Ingali ni ngumu sana kumuingia akilini lakini cha kufanya apige MOYO konde aendelee na mambo yake kwani kama ana NIA ya kuolewa hakika atampata MME mzuri zaidi ya yule,MI MWENYEWE NINA UMRI WA 22year na bila shaka anaweza akaja 2kawa Mr/Mrs. Nimtakie Ucku Mwema wenye Njozi Njema!
 
Mmmmh we sasa unamshauri au unamvutia kwako?duu meeen!
 
amelia kuanzia jana saa 10 jioni mpaka saa 11 asubuhi, nalala, naamka namkuta analia nimetoka kwenda kazini hajalala, na mchana huu napiga simu analia tu BP imeshuka

daah i wish na me ningeliliwa namna hiyo ila anyw mwambie aachane na huyo msaka watoto
 
Kutokana na majibu yako na kusoma btn lines nashawishika kusema muhusika ni wewe mwenyewe Joyce....
 
Wako pamoja tangu 2002 mpaka leo, hajawahi kuwa na mwanume mwingine zaidi ya huyo, kwa ufupi hamjui mwanaume mwingine zaidi ya huyo mchumba wake. tangu mdogo ameumia sana

nafikiri kinachomfanya alie kutwa nzima ni hiyo hali ya uchanga wake,
katika kuwajua wanaume, alipokuwa nae alidhani dunia yote iko mikononi mwake!,
Ndo ukubwa huo, hopefully the next case she will be more of little pressure!!!!!!!!!!!
 
Relationship suck's...i wish love culd be bought in form of goods not by feeling ,tricky emotions n blah blah wastage of time hiki sio KIPINDI CHA KUPENDA KWA MOYO ,TUMIA BRAIN TU ,MTU HUMJUI MNAKUTANA TU THEN UNALIAAA NA AMEKUUMIZA ITS VERY ILLOGICAL ,it once happen to me 5yrs rltnshp ikabumbuluka kama vile tulikuwa hatufahamiani vizuri.men n women all we ar bad to each other!SORRY it happens in life.. men we ar whom we ar looking for mrs right.Halafu Love pain ni mbaya sana sijui kwanini.??
 
Sometimes, I______________________men, argh!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Joyceline:
It seems like huyo jamaa doesnt care for your sister as much as you and/or your sisters think he did/does. It's ok , and noble for him to want to take
care of his child but that doesnt justify
1. Yeye kumficha mdogo wako habari za mtoto from beginning
2. Yeye kumnyang'anya hilo gari kama alishampa toka mwanzo
Unless she is ready to be the second best to the baby mama, aachane nae!
Mimi mpaka sasa nashidwa kuelewa japo sisi tumeamua kuachana naye, japo jana usiku kuna rafiki yake kaja nyumbani akasema anamwambia huyo mama mtoto usifikiri mimi nitakuoa, lea mtoto wako akishajiweza namchukua uendelee na maisha yako, anamwambia umeniharibia sana maisha yangu.
 
nafikiri kinachomfanya alie kutwa nzima ni hiyo hali ya uchanga wake,
katika kuwajua wanaume, alipokuwa nae alidhani dunia yote iko mikononi mwake!,
Ndo ukubwa huo, hopefully the next case she will be more of little pressure!!!!!!!!!!!

hata mimi nililifikiria hilo sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom