Nadhani fwedha zinamuwasha aisee!!!!mbona unamtisha.? mtamalizana tena
Wakuu habari za kazi, natumia windows 8 kwenye laptop yangu aina. Ya hp, but since nimeinstall hiyo windows 8, DVD Rm yangu haidetect any cd. Nimecheck drivers zote zipo safi any help pls