whizzkid
Member
- Oct 30, 2013
- 58
- 5
Naombeni msaada,
nina tatizo kny laptop yangu ninaposearch kitu online page nyingi zinafunguka kwa pamoja, nyingi ya hizo page zinakuwa ni advertisemnts, hivyo searching inakuwa very slow. nifanyaje kutatua tatizo hili bcoz it is headache to me i tried my best nmeshindwa.