Habar wataalamu naombeni msaada, simu yangu inanata nata ninapotumia au ninapopiga picha je tatizo ni nini?
Nokia asha 201
Jaribu kunawa mikono kabla
ya kuishika simu yako, pia safisha cover ya nje ya simu yako ili
kuondoa gundi za vinywaji na chakula, kumbuka kutumia kitambaa kisafi
unapoiclean simu yako, hapo haitonata tena,
halati88