Msaada please

Msaada please

Joined
Jul 11, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Habari wanajamii forum, naomba mtu yeyote anayeweza kuniunganisha na kazi ya kufundisha chuo. Nina bachelor of art in economics with overall GPA of 3.6, and Msc in Finance and investment with B+. Please wapendwa nawasilisha.
Number yangu ya simu ni 0655911054
 
Mkuu, ingekua vizuri ungesema hiyo GPA ni kutoka chuo gani. Pili nakushauri ungesoma na Masters ili upate kwa urahisi.
 
Kaka nadhani hujanipata vema, nimeandika kuwa pia Nina Master of science in finance and Investment (Msc in finance and investment) with B+. Nimesoma vyuo vizuri sana vinavyotambulika na TCU. Sijapenda kutaja jina la vyuo nilivyosoma coz inaweza kuwaimbalance wengine wakadhani najidai. Thanx rafik kwa mchango wako,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom