Emilia
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 266
- 86
Habari wakuu! Eti ni simu gani ambayo inakuwa na ile ya kurecord calls, yaani wakati unaongea na mtu unaweza kurecord conversation.
Kuna zile Samsung za zamani E 250
zilikuwa na hiyo service(sijui mnaitaje kitaalam) ndiyo niliyokuwa nayo ikaja ikaharibika,nikatafuta mpaka leo sikupata tena simu yenye
hiyo. Plz Help!
Kuna zile Samsung za zamani E 250
zilikuwa na hiyo service(sijui mnaitaje kitaalam) ndiyo niliyokuwa nayo ikaja ikaharibika,nikatafuta mpaka leo sikupata tena simu yenye
hiyo. Plz Help!