Msaada please!

Msaada please!

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,152

Wakuu wajuvi wa jamvi hili, salaam!
Naomba msaada wa kitaalamu. Kuna PC yangu (Desktop) inanizingua sana.Tatizo lililopo ni kwamba, ninapoiwasha na ku-chomeka Modem, huwa ina-restart yenyewe within Three minutes mara baada ya kuchomeka modem na kufungua webpage yoyote!!!! Hata hivyo, nisipochomeka modem, (say ninapoitumia kwa mambo mengine such as typing) tatizo hilo linakuwa dogo sana....naweza kuitumia hata siku mzima bila kuji-restart......ingawaje mara moja moja inatokea kuji-restart.

Je, tatizo linaweza kuwa nini?! How can i solve the problem?!

thank you in advance wakulu!!!
 
Still looking for technical advice!
 
Back
Top Bottom