M MalikwaMali Member Joined Mar 30, 2012 Posts 33 Reaction score 1 May 9, 2012 #1 Habari zenu Wakubwa. Naomba msaada kwa wataalamu. Vipi naweza ku download You tube video katika simu Nokia C1-01. Ikiwa inawezekana, jee nipitie hatua gani? Thanks.
Habari zenu Wakubwa. Naomba msaada kwa wataalamu. Vipi naweza ku download You tube video katika simu Nokia C1-01. Ikiwa inawezekana, jee nipitie hatua gani? Thanks.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,313 Reaction score 2,876 May 9, 2012 #2 Subiri Mkuu, watakuja wataalamu si muda mrefu.