Original Laptops kwa Bei Poa Moro

Michael Paul

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
403
319
JIMZ TECHNOLOGIES CO. LTD inakuletea punguzo kubwa la laptops kwa wanafunzi na wakazi wote wa Morogoro na mikoa ya Jirani.

Tunazo laptops aina zote (Dell, HP, Lenovo, Asus, Toshiba etc.)

Laptops zote zinakuja na Antivirus pamoja na WARRANTY ya mwaka mzima.

Bei zetu ni za chini kuliko wauzaji wote Morogoro, kama huamini fika dukani kwetu lililopo

Business Center GF
Sokoine University of Agriculture (SUA)
P.O. Box 3056, Morogoro
0754210627
info@jimzgroup.com

Tupigie kwa 0754210627 ujipatie laptop original kwa bei POA!!

Karibuni Sana.
 
Ungetupia-orodha jumla na bei zake zinaweza kutushawishi hata tulioko mbali...
Lakini hizi simu...!!

Sent from mTalk
Mkuu kila week mzigo mpya unaingia na kwa bei tofauti tofauti.

what we can guarantee ni laptops original kwa bei nzuri kila siku. karibu sana.

kujua stock iliyopo tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa simu, email au kufika hata dukani kwetu.

Pia tutajitajid kila week kuaweka stock iliyopo na bei yake.

Karibu sana Ngosha... hata shinyanga tutakutumia ..
 
Thanks
Japo sio akina-Ngosha wote wako shy.

Sent from mTalk
 
Easter Offer!!

Brand New!!
Toshiba Satellite

RAM 2GB
HDD 500GB
Screen 15.6"
Windows 10
Price: TZS 580,000
Antivirus 1 Year
Warranty 1 Year

Karibu Sana

Call 0717125200
 
Back
Top Bottom