Kwa mkemia mkuu tu ndo hua pana ruhusiwa kufanya paternity testWasalaam wapendwa
Ni wapi naweza kufanya Paternity test kwa hapa Dar..??
Matured comments pls
Ni upimaji wa Vinasaba vya damu. Yaani upimaji wa DNAhiyo pate naniliu ndo inakuwaje?
Senks mkuu!Ni upimaji wa Vinasaba vya damu. Yaani upimaji wa DNA
si mlikuwa mabikra nyie? umeuziwa bikra ya limao ya oman pole salaHapana.. Kuna mtu anataka kuitetemesha ndoa yangu mkuu..
Kila la kheri mkuu, ila kitanda hakizai haramuHapana.. Kuna mtu anataka kuitetemesha ndoa yangu mkuu..
si ulisema wewe ni bikra na mkeo kaboom!acha fixSio wife mkuu.. Kuna huyu Dada kaja na mimba ya miezi mitano anadai ya kwangu
sasa nitaamini vipi unaitaji dna test?Hivi uliamini kweli mi ni bikra
Kwa hilo mkuu hapo lazima ndoa itetemeke.Sio wife mkuu.. Kuna huyu Dada kaja na mimba ya miezi mitano anadai ya kwangu