Msaada please

golan

Senior Member
Joined
May 8, 2013
Posts
175
Reaction score
6
Habari wakuu , naombeni msaada wenu namtafuta rafiki yangu anaitwa Judicate Mushi nimepotezana nae siku nyingi na nimejaribu kupiga office aliyekuwa akifanya kazi wanasema hayupo hapo na hawajui alipo. Alikuwa akifanya kazi African liner Agency makutano ya barabara ya Samora na Morogoro hii ilikuwa kampuni ya clearing and fowarding. Mwenye kujua contact zake tafadhali anisaidie. Thanks
 
ebu weka historia yake,kazaliwa wapi,kasomea wapi..ikiwezekana useme mara ya mwisho kumuona alivaa ngani
The Book
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…