LARRYBWAY
Member
- Feb 21, 2012
- 82
- 5
Habari zenu wataalamu, natumai mnaendelea vizuri sana katika kipindi hiki ambapo yamebaki masaa machache kuweza kuanza kwa sheria mpya ya makosa ya jinai ya mtandaoni.
Ningependa kuelekea kwenye point moja kwa moja, binafsi ni Blogger ambaye nina miliki blog yangu mwenyewe ya Wordpress ambayo imekwisha timiza miaka mitatu tangu niifungue ikiwa ina jumla ya watembeleaji 2.3M katika kipindi chote hicho.
Msaada ninaohitaji ni kuweka matangazo yaani adsense, nimekuwa nikijaribu kuapply kwa msaada wa mtandao wa youtube lakini sikufanikiwa, nikaoni ni vyema niweke hapa suala hilo ili muweze kunisaidia.
Nawasilisha Wadau!