Msaada please: Tofauti ya hizi courses ni ipi .

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,980
1. BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE Level 4
2. TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE Level 5
2. BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN NURSING Level 4
3. TECHNICIAN CERTIFICATE IN NURSING Level 5

Basic Technician and Technician certificates??????????????????????
 
Basic technician certificate NTA Level 4 ni Certificate mwaka wa kwanza 1yr course
Technician certificate NTA level 5 ni mwaka wa pili.
Ordinary diploma NTA Level 6 ni mwaka wa 3.

Maana ya kuzitofautisha no kwamba Luna mtu anaweza kusoma Basic technician akaishia hapo na akachukua cheti chake na akitaka kurudi chuo ataendelea mwaka wa pili ambapo ataomba kujiunga Level 5 .
Hivyo hivyo Mwenye level 5 ataomba diploma.
Au mtu anaweza kuchaguliwa kusoma Ordinary diploma Moja kwa Moja hivyo atasoma zote hizo level 4-6 kwa miaka mitatu.
 
Basic tecn certificate ni ngazi ya cheti kwa mwaka mmoja kwa kozi husika.. Na Tecnician certificate ni ngazi ya juu ya chet ambayo unasoma kwa miaka 2 kwa kozi husika iwe nursing ama clinical medicine
 
asante sana tena sana. Nikuulize zadi. Nurse assistant na medical attendant (ambazo NACTE wamesema hawazitambui) zinaingia wapi hapo?
 
Basic tecn certificate ni ngazi ya cheti kwa mwaka mmoja kwa kozi husika.. Na Tecnician certificate ni ngazi ya juu ya chet ambayo unasoma kwa miaka 2 kwa kozi husika iwe nursing ama clinical medicine
Kwa hawa technician certificate in clinical medicine wanafanya/wanatibu wapi maana nijuavyo ni kuwa Clinical officers ndio ngazi ya kwanza ya utabibu!
 
Kwa ninavyo jua, mtu akisoma clinical medicine ndio anaitwa clinical officer.. So clinical offiver ni mtu aliesoma kozi ya clinical medicine
 
Back
Top Bottom