Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Habari wanajamvi,
Nina simu yangu ya Huawei G510, inaniletea meseji inayosomeka hivi, "Unfortunately, Google play services has stopped."
Ni meseji inayokuja kila baada ya sekunde chache, mpaka nakosa raha ya kutumia simu.
Naombeni mnijuze hapo tatizo ni nini?
Asanteni.