Msaada Please: Nipo nje ya nchi

Msaada Please: Nipo nje ya nchi

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
956
Reaction score
120
Wasalaam JF

Nipo nje ya nchi nataka kufundisha wazungu michezo ya kufurahisha ya kitoto tuliyocheza zamani kama unajua mojawapo niwekee hapa tafadhali iwe ambayo inawezekana kuchezwa ndani ya ukumbi mimi nimeshasahau.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.
 
Bure bure tu?
We vipi?
 
hukuenda kwa lengo hilo haya watoto umri gani kuna baba na mama ,kombolela.ukuti,kama ulaya haijakusahaulisha
 
Wape video ya maboksi chonga boksi kama flam kicha weka karatasi nyeupe panga watoto au katuni za kuchonga kwamaboksi twiga kama tingatinga vile zima taa washa mshumaa watoto wanacheck movi

swissme
 
Sema upo nchi flani sio nje ya nchi sio kiswahili icho mkuu samahani lakin
 
Banchikicha........vum vum........macheura........tikri......rede.......mdako.......baishoo.......esta esta.......

Niendelee..........?....
 
Wasalaam JF

Nipo nje ya nchi nataka kufundisha wazungu michezo ya kufurahisha ya kitoto tuliyocheza zamani kama unajua mojawapo niwekee hapa tafadhali iwe ambayo inawezekana kuchezwa ndani ya ukumbi mimi nimeshasahau.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.

Haya tumejua promo yako kuwa Upo foreign country...
 
Wasalaam JF

Nipo nje ya nchi nataka kufundisha wazungu michezo ya kufurahisha ya kitoto tuliyocheza zamani kama unajua mojawapo niwekee hapa tafadhali iwe ambayo inawezekana kuchezwa ndani ya ukumbi mimi nimeshasahau.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.
Kibaba baba na mama, kombolela, kujificha, rede, mwingine ukiinama unapigwa teke
 
sisi enzi zetu kule Usukumani tulicheza sana Chagulaga, sio mbaya ukiwafundisha huko nje ya nchi pia!
 
kwa hiyo tujirekodi tukicheza kama watoto halafu tukutumie clip au tuandike scripts?
Hapa ndipo inaponifurahisha JF, maana hapa siyo mara pa kujivunza tu kutoka kwa great thinkers bali pia kuna kuvunja mabavu ile mbaya.
 
Back
Top Bottom