Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Shida itakua betri ya kwangu ilikua hvyo hvyo na nilikua na betri mbili moja ilikua inachelewa nyingine ilikua inapikea fasta nkaenda samsung nkachukua betri mpya na genuine zile mbili zote nkapiga chini sasa iko vizuri tu ila shida ni kuchemka tu.Hata mimi ninatatizo na Note 4 inachelewa kupata chaji kisha chaji haichukui muda inazima zima fasta yaani mpaka inakera naombeni msaada ,
Habari ndugu, asante kwa msaada wako bado inachemka please msaada wako tena ulisema utanipa another alternativesHabari mara nyingi kuchemka kwa hizi simu husababishwa na kuinstall Application nyingi kwenye simu yako hebu unstall application ambazo hauzitumii then
Njia nyingine nitaitutuma shortly!!
kweli chief, hii ya kwangu inaishia na F. unajua kawaida hakuna smartphone isiyochemka hasaa inapotumika sana, wenye iphone pia wanalia maana majuzi nilikuwa na jamaa akitumia iphone6+ alinithitishia hilo. labda hapo unisaidie task manager ipi nitumiesidhani kama note 4 inachemka ovyo sababu hio ni simu ya mwisho kuwa na soc nzuri ya krait angalia mambo haya
1. simu yako ni version ya kimataifa, kuna matatizo ya watu kuuziwa simu za korea, usa nk simu ambazo zimeshachezewa sana wanakuja kushikishwa huku. nenda setting halafu about angalia aina yake version ya kimataifa inaishiwa na F au C kama sijakosea.
2. hakikisha hujaeka vitu vingi vinavyofanya kazi chini kwa chini, tafuta task manager yoyote angalia cpu, gpu na ram usage kama vinatumika sana angalia app gani inavitumia zaidi jaribu kuifunga kama ukiiifunga inajifungua itoe. task manager zipo nyingi playstore just search
3. simu haina warranty? note 4 ilitoka october 2014 warranty yake haijaisha unaweza wapelekea samsung. una mwezi mzima wa kwenda
picha hata siioni.kweli chief, hii ya kwangu inaishia na F. unajua kawaida hakuna smartphone isiyochemka hasaa inapotumika sana, wenye iphone pia wanalia maana majuzi nilikuwa na jamaa akitumia iphone6+ alinithitishia hilo. labda hapo unisaidie task manager ipi nitumieView attachment 404627