msaada please kuhusu iPhone #Gs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada please kuhusu iPhone #Gs

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Fakhi Jumaa, Apr 16, 2012.

 1. Fakhi Jumaa

  Fakhi Jumaa JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wanajamii nitaweza nika install version ya 4.3.3 kweny ka iPhone Gs kangu? au ni version gani nzuri(isiyokuwa na usumbufu) wa kuinstall kwa hii iPhone? msaada tafadhali currently simu ins version 4.2.tafadhali kwa kuwa siyo mtaalam mzuri wa hiz firmware za apple
   
 2. c

  chilubi JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu baki na hiyohiyo 4.2 ndo nzuri yao kwa 3gs! Mimi nimeweka 5 kutoka 4.2 saivi najuta! 4.2 ilikua inafanya kazi na ipo speed kuliko ilivyo saivi my phone!
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ninaipenda 5.0.1 coz ni ya ios5 na un aweza jailbreak. tatizo moja tu. huwezi update firmware ya iphone tofauti na iliyo latest (complicated storykuhusu update za firmware za iphone, bottom line, huwezi kuweka firmware tofauti na 5.1.1) unless we ni bonge la I.T
  ushauri wangu, baki na hiyo uliyo nayo mpaka jailbreak ya 5.1.1 itoke, au kama we sio mshabiki wa kujailbreak ur iphone, nenda ios5, utaskia kama simu yako mpya
   
Loading...