Mchepuko1
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 215
- 102
Wakuu naombei msaada juu ya kozi ya bachelor in archeology ya udsm,kwani ndo kozi niliyobahatika kupata second round.nahitaji kujua inahusu nn na ajira zake kiujumla.napenda kusema haya yote ni TCU inafanya mpaka tuchanganyikiwe na kuweka kozi ambazo hatuzielewi kutokana na kuhofia kukosa chuo.ntashukhuru endapo mtanisaidia