S sumni7 Member Joined May 8, 2012 Posts 71 Reaction score 10 Jun 17, 2012 #1 Wadau naomba msaada nimesahau password za memory card kwa anaejua namna ya ku-unlock naomba anijuze.
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Jun 17, 2012 #2 sumni7 said: Wadau naomba msaada nimesahau password za memory card kwa anaejua namna ya ku-unlock naomba anijuze. Click to expand... Tafuta Thread iliyo andikwa na Chief-Mkwawa humu jf ameelezea jambo hili, ila inabidi uwe na nokia Symbian S60 phone
sumni7 said: Wadau naomba msaada nimesahau password za memory card kwa anaejua namna ya ku-unlock naomba anijuze. Click to expand... Tafuta Thread iliyo andikwa na Chief-Mkwawa humu jf ameelezea jambo hili, ila inabidi uwe na nokia Symbian S60 phone
S sumni7 Member Joined May 8, 2012 Posts 71 Reaction score 10 Jun 17, 2012 Thread starter #3 plz jina la thred nimesahau, vp kwa nokia