Msaada Please: Hii imekaaje? (Kwa wanawake tu)

Msaada Please: Hii imekaaje? (Kwa wanawake tu)

'u need to test ur shoes be4 buying them 2 avoid buying oversize' ndio msemo wao huu my dia!!

BINTI.CO
Mkugegedwa hakuepukiki ukizingatia kuwa wengine hawapendi kununua zile zilizoondolewa kufuli. Mie nakubaliana na maoni ya mdogo wangu Lady Doctor kwa aliyoyasema labda tumsubili lala1.
 
Wulize wengi walioko ndoani watakuambia hawakuanza kwa ku-define uhusiano wao ni ndoa siku zao za mwanzoni. Bali ni waliridhika kila mmoja katika uhusiano ndo uchumba na ndoa ikazaliwa. Kwenye kuridhika huko waligegedana kidogo. Ushauri: tafuta roho yako iliyempenda kubali kuanza naye uhusiano. Makubaliano mingine yatakuja baadae ila msimamo wako pia lazima aujue.
 
Ukubwaa tabu!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mpe penzi m2 kutokana na umemfil ukimpa kinyume na hapo hutokuwa na mwisho mzuri i.e kwa sababu ya kufaulu,kupata pesa,gari lake,kuolewa n.k
 
basi kaa nayo kama unadhan ukigegedwa hawatarudi tena. au unajijua matatizo yako sasa unataka kumuuzia mtu mbuzi kwenye gunia
 
Pwa hahaha mi babaBeata alionja yani hadi analeta posa na mahari kwa wazazi nna mimba ya miezi miwili tayari! Ilikua bahati hakuingia mitini, nadhani kwa upendo wake kwangu.
 
Walionionja hawakuwa wachumba

sasa binti ungekua hujaonjwa kukataa kwako kungemake sense. Ndo maana unakimbiwa kama uliwaonjesha wengine iweje umnyime mwingine, watakua wanadhani unataka kuwatumia tu utimize ndoto zako za kuolewa na sio real love. Pole, jipange upya.
 
mapenzi ya siku hizi wanaume wanapenda kugegeda first.......
its a new fashion in town mwaya
ila kuna kamsemo kamoja ka Smile kuwa its better to test the guy first before...... akija mwenyewe atakudadafulia zaidi
Smile achana naye kwani yeye aliolewa akiwa bikra. kama kawaida ya ke kutaka kila mtu awe kama yeye baada ya kupoteza ile diamond (bikra)
 
wanawake mbona 2nalo!! ukikubali kugegedwa utagegedwa na wangapi shost? mbona wanawake tungeishia kua ka magari bovuuu... maana siku hizi baadhi ya vidume ni noma 'hit and run' mwanamume akupendae kweli atakusubiri na kutokufanya sex si sababu ya kutokukuoa coz ktk ndoa kuna mengi zaidi ya sex. kuwa na msimamo na vuta subira ni jambo jema hata machoni kwa Mungu. 🙂
 
Back
Top Bottom