alafu magalasa kibao utaenda mzimamzima utakutana na mambo usiyoyapenda
Nataka ushauri toka kwa wanawake wenzangu waliokwisha kukutana na kadhia hii mbinu waliyotumia wakafanikiwa kuitatua.
Shosti, wanaume wa siku hizi neno "uchumba' wanalitumia kama chambo cha kutunasa sie wadada. Ukiruhusu kila anayekuja na hiyo gia ya uchumba kugegeda mbona itakuwa hatari tupu!!
Yote hayo matatu + maadiliNi vyema na uendelee kuwa hivyo,ila napenda tu kujua unafanya hivyo coz ni msimamo wako binafsi kwmb ni malengo yako ktk maisha yako ya ubinti ? Au uko forced na imani ya dini?au ni fear tu ya kuogopa kutumika?
Wanawake/wadada wenzangu, naomba mnisaidie katika hili tatizo linalonikabili ambalo naona linazidi kuwa sugu kwa sasa; Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata wachumba wengi tu wanaodai wana lengo la kuishi nami kama mke na mme baadaye. Tatizo ni kwamba kila mmoja hutaka "kuonja" na nikimtolea nje "husepa" na kukata mawasiliano na mimi kabisa.
Wanawake/wadada wenzangu wapenzi, ninyi mnakabiliana vipi na hili tatizo? Natamani kuwa "mrs" lakini kwa mwendo huu naanza kuhisi kuwa nitakuwa "miss" wa kudumu.
Kwa heshima na taadhima hoja imefunguliwa kwa upande wa pili pia. Naona wanaume wanamezea mate kuchangia kwenye mada hii ili waji-defend. Haya karibuni mtuambie kwa nini mwapenda kuonja kwanza na mkikataliwa mnasepa jumla?Mleta Mada naomba ruksa kuchangia\fungua hoja na upande wa pili tukupe hoja za msingi ili upate hadidu za rejea!
Tunakabiliana nalo kwa kufunga zipu kwanza, walio serious utawajua na wagegedaji na kusepa utawajua tu......muhimu wasome kwanza ili hata ukivua ujue unavua tu kwa charity ila si kwa ahadi ya ndoa.
alafu wee binti sio wee uliyekuwa wasema hutaki kuolewa...vipi maisha ya umiss magumu? wee utakuwa hujakaa ki wife material ndio maana u attract wagegedaji
tupa kule mdada wanaume wako wengi ukiona tuu anaekuuliza penzi kwanza huyo si muoaji unatakiwa kuwa makini saana.