andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,024
Ila nahisi ungewaalika na ile jinsia nyingine cos nao wanahusika in one way or another
they would be in a good position to give you the good reasons
Asante kwa kutualika.
Tatizo lenu nyinyi wadada wanaume mnaowatamani mnawapa papuchi bila masharti yoyote. Tukija sisi wengine mnatupa masharti tuwaowe kwanza, sasa na sisi machale play, hivyo tunatoka mbio mbaya mno tunajua mnataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia. Yaani mimi kukutongoza wewe mara ya kwanza tu wewe tayari unaniambia nikuoe? hapo natoka mbio kama Usain Bolt.