Msaada Please: Hii imekaaje? (Kwa wanawake tu)

My dia cku iz kuolewa hakuna formula hubane uachie yote Sawa tu unaweza kubana na asikuoe na ukaachia kesho yAKe a kakwambia nipeleke kwenu nikatoe maharishi so inadepend na mwanaume uliokua na nao,kubana napo sn mpk ndo Utakuja kujuta,ndo Yale Yale ya kuuziwa mbuz kwenye kiroba. Mwanaume hasifiw sura mwanaume anasifiwa KAaaaaaaaaaz...............!!!!!ndo ukakute iyo kaz SI kaz saa.
 
mimi ushauri wangu ni kwamba tulizana tu ..wewe kitulize ipo siku kitapata
 
mimi ushauri wangu ni kwamba tulizana tu ..wewe kitulize ipo siku kitapata

ushauri gani huo kwa mwenzio....achaga roho mbayaaaaa hata hufananiii.

Wewe chako chagongwa chake akae nacho tuu na kiu inamsumbua na minyegere kibaooo..mwishowe apatwe msongo wa mawazo agongwe na gari afe bureeeeee...au augue ugonjwa wa kuchekacheka na kitu kapewa bureeee kunyima ntu haweziiii somooooooo.
 
naona kama hilo wangesaidia sana wanaume kulijibu
kwa kuwa wao ndo walengwa haswaaaa.
 
Tumia busara kwa huyo utakae mpa aonje kuandaa ndoa naamn anavyokuja muoaj na ambae c muoaj unawaona!mimi cwez kuwa na msichana kwenye relation kama hanipi niliwah vumilia hayo pindi niko sxul c sasa!na pia ndoa ni matokeo ya kuonja ukanogewa unachonga mzinga ila mtu tu avute ndani labda usubir ambae amechoka kuzunguka ss anataka yeyote hapo utampata
 
jaman jaman
 






I'm not a woman but nimependa mchango mzuri wa Kaunga.
 
Last edited by a moderator:
Usiogope mambo yatakayokupata, tazama huyo ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku 10. Uwe MWAMINIFU hata kufa nami nitakupa taji ya UZIMA. (Ufunuo 2:10) mume mwema atoka kwa mungu mwaya 🙂
 




Samahani Binti.com mimi sio mwanamke ila nilitaka tu kukurekebisha kauli ya kusema wanataka kuonja, nadhani inatakiwa kuwa kuonjana coz the act involves two people,wewe unamuonja na yeye pia anakuonja in short mnakuwa mmeonjana sio kwamba mwanaume ndo anakuonja tu!!!
 
Last edited by a moderator:
havina expire date lakini.

Watch out Mamndenyi,

Shelf life yake ni between 18 - 39 yrs! Expires at 40 and above. Anyway, napita tu sikupaswa kuchangia hii thread kwa sababu is for ladies only. Nimekuwa gate crusher!
 

wee unaombwa direct...haya na mie naomba tamu yako lol
 
alafu wee binti sio wee uliyekuwa wasema hutaki kuolewa...vipi maisha ya umiss magumu? wee utakuwa hujakaa ki wife material ndio maana u attract wagegedaji
 
ningalikuwa mm ningaangalia je hata mm na mfeel huyu anayetaka kunigegeda?? no wonder una neg perception na ngono kiasi kwamba huipendi so lijapo swala la kushiriki nafsi ikakataa. ila ukweli mie huwaga nasema usizini kwasababu ya vitu vya nje like ndoa, ama pesa ama wateva ila zini kwasababu you feel like ili usije juta na kuumiza nafsi yako badae.
 
ndo nimesikia kwako leo

Watch out Mamndenyi,

Shelf life yake ni between 18 - 39 yrs! Expires at 40 and above. Anyway, napita tu sikupaswa kuchangia hii thread kwa sababu is for ladies only. Nimekuwa gate crusher!
 
its not such a big deal!
unafanya mapenzi kwa kuwa yu feel it sio kwa kuwa unataka au uitumie kama a bait kwa mchumba!
anaweza akasubiri na mpka akaoa!lakini akishapata akawa wa ajabu vile vile!
la msingi ni vile wewe unajisikia!
WITH OR WITHOUT MARRIAGE,love making is in your mind!
twist mawazo yako kidoooogo!sijakwambia ufanye ili wakuoe!NOPE !NOPE!fanya kwa kuwa yu feel it!IF NOT!ACHA!na hii si kwa sababu unataka aliye serious na ndoa,but HUJISIKII KUFANYA hata na yule anayesema yuko tayari kwa ndoa!
hatutoi miili yetu kwa kuwa tu tunataka tuolewe!WE JUS FEEL LIKE DOING SO!
 
Wacha kitu ithaminishwe and then utaona matokeo yake.............

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…