Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,200
Wanawake/wadada wenzangu, naomba mnisaidie katika hili tatizo linalonikabili ambalo naona linazidi kuwa sugu kwa sasa; Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata wachumba wengi tu wanaodai wana lengo la kuishi nami kama mke na mme baadaye. Tatizo ni kwamba kila mmoja hutaka "kuonja" na nikimtolea nje "husepa" na kukata mawasiliano na mimi kabisa.
Wanawake/wadada wenzangu wapenzi, ninyi mnakabiliana vipi na hili tatizo? Natamani kuwa "mrs" lakini kwa mwendo huu naanza kuhisi kuwa nitakuwa "miss" wa kudumu.
Wanawake/wadada wenzangu wapenzi, ninyi mnakabiliana vipi na hili tatizo? Natamani kuwa "mrs" lakini kwa mwendo huu naanza kuhisi kuwa nitakuwa "miss" wa kudumu.